KANUNI NA MUONGOZOPoncian Tv ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na Maadili yanayoongoza Tasnia ya Habari. Tumejikita katika kuripoti Matukio ya Siasa,Burudani Michezo na masuala ya Kijamii. Tunazingatia Misingi ya Uhariri katika Habari kwa kufuata yafuatayo:1. Kuripoti habari za ukweli2. Kusaidia kurekebisha Taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu3. Kufuata misingi ya Habari kwa kuripoti Habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote 4. Kujiepusha na Udini, ukabila kufungamana na Chama chochote cha Siasa au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchocheziMuongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake2. Poncian Tv ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali3. Poncian Tv ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote4. Poncian Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni
You should get activation email from StatsVideo in the next 3-5 minutes.
You must click a link in the email to start your free subscription.
Didn't get email? Check your SPAM folder.