Mgisa Wilson Mtebe ni Mwalimu wa Neno la Mungu ; nimtotowa pili wa Dr. Wilson Mtebe na Mama Usuli Mtebe wa Morogoro mjini. Kitaaluma, Mgisa ana shahada yakwanza katika Uchumi na Mipango (BSc. In Planing) Chuo kikuu cha mjini Morogoro. Pia Mgisa ni mwalimu mwenye Diploma kutoka Chuo cha Ualimu cha Kanisa la kilutheri cha jijini Mbeya.Mgisa amekuwa akifundisha neno la Mungu kwa ufasaha, katika Makanisa , Makongamono Vyuo nashule mbalimbali, ndani na nje ya Tanzania . Huduma hii ya Ualimu aliyopewa na Mungu imekuwa Baraka nyingi kwa watu wengi. Mobile : +255 753 497 655Website: http://www.mgisamtebe.or.tz/facebook : https://www.facebook.com/Mgisa-MtebeInstagram : https://www.instagram.com
Sie sollten in den nächsten 3-5 Minuten eine Aktivierungs-E-Mail von StatsVideo erhalten.
Sie müssen auf einen Link in der E-Mail klicken, um Ihr kostenloses Abonnement zu beginnen.
Keine E-Mail erhalten? Kontrolliere deinen Spam ordner.