KANUNI NA MUONGOZOLindi Yetu TV ni Channel ambayo inazingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika Nyanja zote Iwe Burudani, Michezo na Siasa iwe ndani ya Nchi au Nje ya Nchi, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:1. Kuripoti habari za ukweli zenye kufuata misingi ya habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote .2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu.3. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi.Muongozo kwa Wafuatiliaji Wetu (GUIDELINES FOR OUR SUBSCRIBERS)1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake.2. Lindiyetu Tv ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi.3. Lindiyetu Tv ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.ONYO: Ni Kosa kujimilikisha contents za Lindi Yetu TV, COPYRIGHT STRIKE ITAKUHUSU.t.me/lindiyetu
Deve receber o email de ativação da StatsVideo nos próximos 3-5 minutos.
Deve clicar num link no email para dar início à sua subscrição gratuita.
Não recebeu o email? Veja a sua pasta de SPAM.