Hans Film Production ni kampuni iliyopo Mkoani Njombe, inayojishughulisha na upigaji wa picha za Video katika matukio mbalimbali kama vile Kwaya, Harusi, Send Off n.k.Vilevile tunatoa huduma za kukodisha Muziki, Matangazo (PA), Kuhariri kazi za Video, Kutengeneza Cover na kutoa copy za DVD, kutoa elimu na ushauri wa kitaalam unaohusiana na kazi zote za Video.Wasiliana nasi kupitia simu no. +255 754 994017 au +255 715 994017
Anda akan menerima email aktivasi dari StatsVideo dalam 3-5 menit dari sekarang.
Anda harus mengklik link pada email tersebut untuk memulai langganan gratis Anda.
Anda tidak menerima email? Periksa folder SPAM Anda.