Dar24 Media ni chombo cha habari kilichosajiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kinachozingatia maadili, sheria na uweledi na kimejikita katika kutangaza habari za uhakika katika Nyanja za michezo, habari, masimulizi, burudani n.k. Inazingatia misingi ya uandishi wa habari, kwa kufanya yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli na uhakika;ii. Kuripoti habari zenye mizanio na uwiano sawa unaotoa fursa sawa kwa pande zote zinazohusika. iii. Kuepuka udini, ukabilia na uchochezi. iv. Kuepuka habari zenye chembe ya ubaguzi wa aina yoyote au uonevu. v. Kuzingatia zaidi maslahi ya umma na usalama wa nchi. Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake2. Dar24 Media ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali3. Dar24 Media ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote4. Dar24 Media ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni
You should get activation email from StatsVideo in the next 3-5 minutes.
You must click a link in the email to start your free subscription.
Didn't get email? Check your SPAM folder.